Kalasinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: an:Sikhismo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Khanda.jpg|thumb|300px|Khanda ni nembo la Kalasinga.]]
 
'''Kalasinga''' ([[Kipunjabi]] ਸਿੱਖੀ sikhi; pia: '''Usikhi''') ni [[dini]] yenye asili ya [[Uhindi]] inayomwabudu [[Mungu]] mmoja tu. Wafuasi wake huitwa Kalasinga au Sikh na kitabu kitakatifu chao ni [[Guru Granth Sahib]].
 
==Uenezi==
Wafuasi wake huitwa Kalasinga au Sikh na kitabu kitakifu chao ni [[Guru Granth Sahib]]. Idadi ya wafuasi ni takriban milioni 20 na wengi wao wanaishi UhindiniUhindi katika jimbo la [[Punjab]]. Kutokana na uhamiaji kuna pia jumuiya za Kalasinga huko [[Uingereza]], [[AfrikaMarekani]], ya[[Kanada]], Mashariki[[Malaysia]], [[KanadaSingapore]] na sehemu mbalimbali za dunia, zikiwa na pamoja na nchi za [[Afrika ya Mashariki]].
[[Picha:GuruNanakwalking.jpg|thumb|200px|left|Picha ya Guru Nanak]]
Kalasinga ilianzishwa katika karne ya 15 na [[Guru Nanak]] aliyezaliwa katika familia ya [[Uhindu|Kihindu]] wakati wa utawala wa Waislamu juu ya Uhindi ya kaskazini. Nanak alijishughulihsa na dini tangu utoto na kwenye umri wa miaka 30 aliondoka katika familia alianza kipindi kirefu cha matembezi. Anasemekana alizunguka kote Uhindi akafika pia [[Makka]], [[Uajemi]] na [[Afghanistan]]. Hakukubali ibada nyingi za Uhindu, mafundisho na maandiko ya kidini, tabaka za kijamii. Alisikitika kuona jinsi gani dini ilivyogawa watu.
 
==Historia==
Hapa alianza kufundisha dini ya umoja. Wataalamu wengine wameeleza mafundisho yake kama jaribio la kuondoa matatatizo kati ya Waislamu na Wahindu kwa kutafuta imani ya pamoja iliyojengwa kwenye misingi ya Uhindu lakini kupokea mengi kutoka Uislamu.
[[Picha:GuruNanakwalking.jpg|thumb|200px|left|Picha ya Guru Nanak.]]
Kalasinga ilianzishwa katika [[karne ya 15]] na [[Guru Nanak]] aliyezaliwa katika [[familia]] ya [[Uhindu|Kihindu]] wakati wa utawala wa [[Uislamu|Waislamu]] juu ya Uhindi ya kaskazini.
 
Nanak alijishughulihsa na dini tangu utotoni na kwenye umri wa miaka 30 aliondoka katika familia akianza kipindi kirefu cha matembezi. Anasemekana alizunguka kote Uhindi akafika pia [[Makka]] ([[Uarabuni]]), [[Uajemi]] na [[Afghanistan]].
 
Hakukubali [[ibada]] nyingi za Uhindu, mafundisho na maandiko ya kidini, matabaka katika jamii. Alisikitika kuona jinsi dini ilivyogawa watu.
 
HapaHapo alianza kufundisha dini ya [[umoja]]. Wataalamu wengine wameeleza mafundisho yake kama jaribio la kuondoa matatatizomatatizo kati ya Waislamu na Wahindu kwa kutafuta imani ya pamoja iliyojengwa kwenye misingi ya Uhindu lakini kupokea mengi kutoka Uislamu.
 
Guru Nanak alifuatwa na maguruma[[guru]] tisa wengine. Katikia kipindi hikihicho polepole Kalasinga waliendelea kuwa jumuiya ya pekee., Waliteswa nawakiteswa na watawala wa Kihindu lakini zaidi na watawala Waislamu. Walianza kubeba [[silaha]] naili kujiteteakujihami na kuwa kundi muhimu katika Punjab.
 
Tangu guru ya kumi [[Gobind Singh]] walionekana kabisa kama kundidini la kidini laya pekee. Wanaume hufuata kanuni za "Kaakar tano":
 
Guru Nanak alifuatwa na maguru tisa wengine. Katikia kipindi hiki polepole Kalasinga waliendelea kuwa jumuiya ya pekee. Waliteswa na na watawala wa Kihindu lakini zaidi na watawala Waislamu. Walianza kubeba silaha na kujitetea na kuwa kundi muhimu katika Punjab.
[[Picha:Kakaars x3.JPG|thumb|200px|Kanga, Kara and Kirpan]]
== Kaakar tano ==
[[Picha:Kakaars x3.JPG|thumb|200px|Kanga, Kara and Kirpan.]]
Tangu guru ya kumi [[Gobind Singh]] walionekana kabisa kama kundi la kidini la pekee. Wanaume hufuata kanuni za "Kaakar tano":
[[Wanaume]] hufuata kanuni za "Kaakar tano":
* kes: nywele ndefu; hawakati [[nywele]] wala [[ndevu]] wakionyesha ya kwamba kila kitu kilichoumbwa na Mungu ni kizuri
* kangha: chanuo dogo - nyelenywele zinatakiwa kutunzwa vizuri
* kara: bangili ya chuma - alama ya kuwa mali ya guru
* kirpan: upanga mdogo - wawe tayari kutetea [[imani]] na [[haki]]
* kaccha: chupi - inamkumbusha sikhi ya kwamba anahitaji kutawala [[tamaa zake]] za kimwili[[mwili]] wake
 
Sharti yala kuktokatakukokata nywele imesababishalimesababisha alama ya nje ya Kalasinga yaani [[kilembekilemba]] kwa sababu nywele za kichwa pamoja na ndevu hufungwa katika kilembekilemba na Kalasinga huonekana kirahisi kutokana vilembena vilemba vyao.
 
== Imani kadhaa ==
Kati ya mafundisho ya kimsingimsingi ni imani katika Mungu mmoja anayeitwa [[Waheguru]]. Kama Wahindu wanaamini ya kwamba nafsi ya mtu huzaliwa upya tean na tena na shabaha ya dini ni ukombozi katika mzunguko wa kuzaliwa upya na upya tena. Ukobozi wanaona katika jina la Mungu na jitihada za kujisafisha kiroho. Waheguru au Mungu hana umbo na hawezi kuelezwa na [[akili]] ya kibinadamu.
 
* Mungu mmoja tu. Aliumba ulimwengu, anaitunza na mwenye uwezo wa kuumaliza.
* Mungu haingii katika maumbile ya kibinadamu.
* Shabaha ya maisha ni kujiondoa katika giza ya kiroho na mapendzi ya vitu vya kidunia. Njia yake ni kutakarai na kutamka jina la Mungu.
* [[Guru]] wa pekee ni kitabu kitakatifu cha [[Guru Granth Sahib]]
* [[Wanawake]] ni sawa na wanaume
* Kila kalasinga anatkiwa kuchapa kazi na kuwa mwaninifu
* Wote wanatakiwa kushirikiana mafanikio ya kazi yao
* kila mmoja anatakiwa kumsaidia mwenzake na hasa mwenye matatizo
 
Kama Wahindu wanaamini ya kwamba [[nafsi]] ya [[binadamu]] huzaliwa tena na tena na shabaha ya dini ni [[ukombozi]] katika mzunguko wa kuzaliwa upya. Ukombozi wanauona katika jina la Mungu na jitihada za kujisafisha kiroho.
* Mungu ni mmoja tu. [[Uumbaji|Aliumba]] [[ulimwengu]], anaitunzaanautunza na mwenyekuwa na uwezo wa kuumaliza.
* Mungu haingii katika maumbile[[umbile]] yala kibinadamu.
* Shabaha ya maisha ni kujiondoa katika [[giza]] yala kiroho na mapendzimapenzi ya vitu vya kidunia. Njia yake ni kutakarai na kutamka jina la Mungu.
* [[Guru]] wa pekee ni kitabu kitakatifu cha [[Guru Granth Sahib]].
* [[Wanawake]] ni sawa na wanaume.
* Kila kalasinga anatkiwaanatakiwa kuchapa [[kazi]] na kuwa mwaninifumwaminifu.
* Wote wanatakiwa kushirikiana kwa mafanikio ya kazi yao.
* kilaKila mmoja anatakiwa kumsaidia mwenzake na hasa mwenye matatizo.
 
== Viungo vya Nje ==