München : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
CGN2010 (majadiliano | michango)
Mstari 10:
== Historia ==
Jina la mji latokana na makazi ya wamonaki waliokuwa na nyumba kando la Isar iliyotajwa mara ya kwanza katika hati ya mwaka [[1158]]. Mji ukawa soko kwenye daraja ya kuvuka mto. Baada ya kuwa makao makuu ya watawala wa Bavaria mji ulianza kukua. Mnamo mwaka [[1700]] ulikuwa na wakazi 24,000 pekee walioongezeka kuwa 170,000 mnamo [[1871]] na 840,000 mwaka [[1933]].
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Ujerumani]]
 
{{mbegu-jio-Ujerumani}}