Bundesliga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho dogo
Mstari 2:
[[Picha:Deutsche Meisterschale.JPG|thumb|riht|300px|Tuzo ya Kijerumani kwa ajili ya mshindi wa mashindano ya [[mpira wa miguu]].]]
 
'''Bundesliga''' ni jina la michezo ya hali ya juu katika nyanja za michezo mbalimbali katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Bundesliga inamaanaina maana ya kutaja ligi kuu ya nchi nzima. Neno hili hutumika katika nchi ya [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Mpira wa miguu ni mchezo mashuhuri sana katika nchi hizo mbili. Na ndiyomaanandiyo maana mchezo wa mpira wa miguu unajulikana sana katika nchi hizo kwa jina la Bundesliga.
 
Timu za mpira zinaingia katika Bundesliga kwakuwa washindi katika moja kati ya ligi ndogo za nchini humo. Timu itakayoongoza katika msimu wa mashindano hayo inaitwa Meister. Meister ni neno la [[Kijerumani]] likiwa na maana ya bingwa au mshindi. Kisheria, msimu wa michezo ya mpira huwa na kawaida ya kuanza mwezi wa sita katika mwaka uliopo hadi mwezi wa sita mwaka unaofuatia.