Göttingen : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Goettingen Marktplatz Oct06 Antilived.jpg|thumb|250px|Göttingen]]
Mji wa '''Göttingen''' ni mji mmojawapo wa [[Ujerumani]]. Uko upande wa Kusini-Mashariki wa jimbo la [[Saksonia ya chini]] (kwa [[Kijerumani]]: ''Niedersachsen''), na tangu mwaka wa 1965 umehesabika kama mji mkubwa (au jiji) kwa vile umevuka idadi ya wakazi zaidi ya laki moja. Göttingen inajulikana hasa kwa chuo kikuu chake ambacho kimezinduliwa rasmi mwaka wa 1737.
|