Marie Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ga:Marie Curie
No edit summary
Mstari 3:
'''Maria Curie''' (jina kamili: '''Maria Skłodowska-Curie''' *[[7 Novemba]] [[1867]] – [[4 Julai]] [[1934]]) alikuwa [[mwanafizikia]] na [[mwanakemia]] Mpoland na Mfaransa aliyepata [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka 1903 na [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka 1911.
 
Alizaliwa [[Poland]] kama Maria Skłodowska wakati nchi ilikuwahiyo ilipokuwa chini ya [[Urusi]]. Wakati ule hapakuwa na nafasi yakwa wanawake kusoma kwenye [[chuo kikuu]] nchini, hivohivyo akahamia [[Ufaransa]] mwaka [[1891]] akajiandikisha katika somo la [[fizikia]] akaendelea baadaye kuchukua [[digrii]] ya [[hisabati]].
 
Mwaka [[1895]] akaolewa na [[mwanasayansi]] Mfaransa [[Pierre Curie]]. Pamoja naye alifanya utafiti za [[unururifu]] akatambua [[elementi]] za [[poloni]] na [[radi (elementi)|radi]].
 
Marie Curie ni mwanadamu wa[[binadamu]] pekee aliyepokea [[tuzo ya Nobel]] kwa [[sayansi]] mbili tofauti. Baadaye alikuwa [[profesa]] wa kwanzakike wa kikekwanza katika chuo kikuu cha [[Sorbonne]] mjini [[Paris]].
 
Alikufa kutokana na [[kansa]] ya [[damu]] (au [[leukemia]]) kwa sababu alishika dutu nururifu nyingi maishani mwake bila ya tahadhari nawakati hatari za unururifu hazikujulikana mwanzonihazijajulikana.
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 18:
 
{{mbegu-mwanasayansi}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1867]]
 
[[Jamii:WatuWaliofariki wa Poland|Curie1934]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Poland|Curie]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Ufaransa|Curie]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fizikia|Curie]]