Erwin Schrödinger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
mergefrom Erwin Schrödinger
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Erwin Schrodinger2.jpg|thumb|right|Erwin Schrödinger]]
[[Image:Tuzo Nobel.png|leftright|80px]]
 
'''Erwin Schrödinger''' {{IPA-de|ˈɛrviːn ˈʃrøːdɪŋɐ}} ([[12 Agosti]], [[1887]] – [[4 Januari]], [[1961]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Austria]]. Hasa alichunguza sifa za mawimbi ndani ya nadharia ya [[kwanta]]. Mwaka wa [[1933]], pamoja na [[Paul Dirac]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''. Katika mwaka wa 1935, baada mawasiliano na rafikiye binafsi [[Albert Einstein]], alipendekeza majaribio ya fikra ya Schrödinger's cat.