Sera za kigeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Patakarang panlabas
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
'''Sera za kigeni,''' ya [[nchi]] pia inaitwa '''sera ya mahusiano ya kimataifa,''' ni seti ya malengo inayoonyesha jinsi [[nchi]] hiyo itakuwa ikihusiana na nchi zingine kiuchumi, kisiasa, kijamii na kijeshi, na kwa kiwango kidogo, jinsi itakuwa ikihusiana na wahusika wasio mataifa huru. Uhusiano ambao umeelezwa hapo juu unatathminiwa na kufuatiliwa katika jitihada kukulia faida ya ushirikiano wa mataifa kimataifa.
Sera za kigeni zinabuniwa ili kusaidia kulinda [[maslahi]] ya [[kitaifa]] ya nchi, [[usalama wa kitaifa]], malengo ya kiitikadi,]] na [[mafanikio]] ya kiuchumi. Hii inaweza kufanyika kama matokeo ya ushirikiano wa amani na mataifa mengine, au kupitia [[unyonyaji.]].
Kwa kawaida, kuunda sera ya kigeni ni kazi ya [[mkuu wa serikali]] na [[waziri wa kigeni]] (au msawe). Katika baadhi ya nchi [[bunge]] pia lina jukumu kiasi la kusimamia. Kando na mengine, katika [[Ufaransa]] na [[Finland]], mkuu wa taifa]] ana jukumu kwa sera za kigeni, wakati mkuu wa serikali hasa anahusika na sera ya ndani. Katika [[Marekani,]], mkuu wa nchi ([[(Rais)]]) pia anahudumu kama [[kiongozi wa serikali.]].
 
== Nadharia ya mahusiano ya kimataifa ==
Mstari 11:
* [[Mahusiano ya kimataifa]]
* [[Sera]]
* [[Mafundisho ya sera za kigeni ]]
* [[Sera ya Nje Potovu]]