Kitabu cha Nahumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: qu:Nahumpa qillqasqan
d roboti Nyongeza: ceb:Basahon ni Nahum; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Kitabu cha Nahum''' (kwa [[Kiebrania]] '''נחום''') ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la [[Manabii wadogo]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Kimo katika .
 
== Muda ==
 
Kitarehe kinashika nafasi kati ya kile cha [[Mika]] nakile cha [[Habakuki]].
 
== Mada ==
 
Kinashangilia ujio wa maangamizi ya dola la [[Waashuru]] na ya makao yao makuu, [[Ninawi]] ([[612 a.C.]]) kwa ufasaha wa kishairi. Adui wa taifa na wa [[Mungu]] hatimaye ataadhibiwa.
 
== Mtunzi ==
 
Mtunzi anadhaniwa kuwa nabii wa [[Yerusalemu]] wakati wa [[mfalme Yosia]] wa [[Yuda]].
 
== Ufafanuzi ==
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Nah/ Kitabu cha Nahumu katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
Mstari 23:
 
{{DEFAULTSORT:Nahumu}}
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[CategoryJamii:Watu wa Biblia]]
 
[[ar:سفر ناحوم]]
[[ceb:Basahon ni Nahum]]
[[cs:Kniha Nahum]]
[[da:Nahums Bog]]