Auguste Beernaert : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+orodha (tazama pia)
Mstari 4:
 
'''Auguste Marie Francois Beernaert''' ([[26 Julai]], [[1829]] – [[6 Oktoba]], [[1912]]) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Ubelgiji]]. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa [[Waziri Mkuu]] na [[Waziri wa Fedha]]. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]] mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa [[1909]], pamoja na [[Paul d’Estournelles]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
==Tazama pia==
*[[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Ubelgiji]]
 
{{DEFAULTSORT:Beernaert, Auguste}}