Umoja wa Muungano wa Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de, et, it, uk Badiliko: sv
No edit summary
Mstari 1:
{{mergefrom|Muungano wa Afrika}}
[[Picha:Organisation of African unity.PNG|thumb|250px|Nchi za Umoja wa Maungano ya Afrika
buluu: nchi zilizounda OAU;
kijani: nchi zilizojiunga hadi 1969
kichungwa: nchi zilizojiunga hadi 1979
nyekundu:Zimbabwe ilijiunga 1982
dhambarau:nchi zilizojiunga tangu 1990]]
'''Umoja wa Muungano wa Afrika''' ([[Kiingereza]]: Organisation of African Unity, '''OAU'''; Kifaransa: Organisation de l'Unité Africaine, OUA) ulikuwa jumuiya ya nchi huru za [[Afrika]] iliyoanzishwa [[1963]] na kudumu hadi [[2002]]. Ulikuwa mtangulizi wa [[Umoja wa Afrika]] ambao ni jumuiya ya nchi za Afrika tangu Julai 2002.