Dola Takatifu la Kiroma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: es:El Sacro Imperio Romano
No edit summary
Mstari 1:
:''Dola Takatifu la Kiroma si sawa na [[Dola la Roma]] la Kale.''
 
[[Picha:Imperial Circles-2005-10-15-en.png|thumb|350px|Ramani ya Dola Takatifu la Kiroma yaonyesha mikoa yake.]]
[[Picha:Holyromanempire.png|thumb|350px|Maeneo ya Dola Takatifu la Kiroma pamoja na mipaka ya nchi za kisasasasa.]]
 
'''Dola Takatifu la Kiroma''' ([[Kijerumani]]: '''''Heiliges Römisches Reich''''', [[Kilatini]]: '''''Sacrum Romanum Imperium''''') ilikuwalilikuwa jina la [[Ujerumani]] kwa wakati kati ya takriban mwaka [[1000]] na [[1806]]. Lakini dola hilihilo, licha ya Ujerumani, lilikuwa pia na maeneo makubwa, lichayakiwa ya Ujerumanini pamoja na [[Austria]] kama, [[Italia]] ya Kaskazini, [[Ubelgiji]], [[Uholanzi]] na [[Ucheki]] wa leo.

Mipaka yake yalibadilika mara kadhaa katika [[karne]] nyingi za kuwako kwake.
 
== Tabia za Dola ==
ManeoMaeneo hayahayo yote yaliunganishwa chini ya [[Kaisari]] aliyekuwa pia mfalme wa Wajerumani. Maeneo haya yalikuwa na kiwango kikubwa cha kujitegemea yakitawaliwa na makabaila wa ngazi mbalimbali, maaskofu wa kanisa katoliki au yakiwa miji huru.
 
Maeneo hayo yalikuwa na kiwango kikubwa cha kujitegemea yakitawaliwa na makabaila wa ngazi mbalimbali na ma[[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] au yakiwa miji huru.
Halikuwa dola la kisasa na vyombo vya dola vilikuwa vichache. Kaisari alitegemea hasa mali yake ya binafsi pamoja na haki ya kuthebitisha watu waliopokea vyeo mbalimbali. Tangu 1438 hadi 1806 cheo cha Kaisari kilibaki katika familia ya [[Habsburg]] waliotawala [[Austria]].
 
Halikuwa dola la kisasa, nakwa kuwa [[vyombo vya dola]] vilikuwa vichache. Kaisari alitegemea hasa mali yake ya binafsi pamoja na haki ya kuthebitishakuthibitisha watu waliopokea vyeo mbalimbali. Tangu 1438 hadi 1806 cheo cha Kaisari kilibaki katika familia ya [[Habsburg]] waliotawala [[Austria]].
 
Tangu [[1438]] hadi [[1806]] cheo cha Kaisari kilibaki katika familia ya [[Habsburg]] waliotawala [[Austria]].
 
== Chanzo baada ya Karolo Mkuu ==
Asili ya dola lilikuwa milki ya [[Karolo Mkuu]] aliyefaulu kuunganisha Ujerumani, [[Ufaransa]] na Italia chini yake. Mwaka [[800]] alipokea cheo cha Kaisari wa Roma kutoka mkonomikono waya [[Papa Leo III]]. Hatua hii ilichukuliwa kama kuendelezwa kwa Dola la Roma la Kale katika magharibi ya Ulaya hata kama hali halisi milki ya Karolo ilikuwa milki ya [[Wafranki]] na [[Wagermanik]] wengine na taasisi zote za Roma ya Kale zilikuwa zimeshakwisha kabisa katika magharibi ya Ulaya. Yaliyobaki ya Roma ya Kale yaliendelea katika mashariki kwa umbo la [[Milki ya Bizanti]]. Lakini makaisari walijenga hoja la "translatio imperii" (kilatini: ukabidhi wa mamlaka) la kuwa mamlaka ya Kaisari yalikuwa na Waroma wa Kale na sasa yalikabidhiwa kwa Wajerumani.
 
Hatua hii ilichukuliwa kama kuendelezwa kwa Dola la Roma la Kale katika magharibi ya Ulaya hata kama hali halisi ilikuwa kwamba milki ya Karolo ilikuwa milki ya [[Wafranki]] na [[Wagermanik]] wengine na taasisi zote za [[Roma ya Kale]] zilikuwa zimeshakwisha kabisa katika magharibi ya Ulaya.
Karolo aligawa urithi wake kati ya wanake na hii ilikuwa chanzo cha Ufaransa upande wa magharibi na Ujerumani upande wa mashariki. Cheo cha Kaisari kiliendelea upande wa mashariki. Hivyo Ufaransa iliendelea kuwa ufalme wa nchi moja lakini upande wa mshariki Wajerumani waliunganishwa pamoja na watu jirani chini ya Kaisari aliyekuwa pia mkuu wa Italia ya Kaskazini, [[Bohemia]] (Ucheki) na sehemu mbalimbali ambazo leo hii ni ama Ufaransa au Ubelgiji na Uholanzi.
 
Yaliyobaki ya Roma ya Kale yaliendelea [[Ulaya]] mashariki kwa umbo la [[Milki ya Bizanti]].
Mjerumani wa kwanza aliyepokea ukaisari kutoka kwa papa wa Roma alikuwa [[Otto I]] mwaka [[962]]. Dola likaendelea hadi 1806 wakati [[Napoleon]] alipoifuta. Jina la "Dola Takatifu la Kiroma" lilianza kutumiwa tangu 1100 likaitwa baadaye pia "Dola Takatifu la Kiroma la Wajerumani".
 
Lakini makaisari walijenga hoja la "translatio imperii" (kwa Kilatini: ukabidhi wa mamlaka) la kuwa mamlaka ya Kaisari yaliyokuwa na Waroma wa Kale na sasa yalikabidhiwa kwa Wajerumani.
 
Karolo aligawa urithi wake kati ya wanakewanae na hii ilikuwa chanzo cha [[Ufaransa]] upande wa magharibi na Ujerumani upande wa mashariki. Cheo cha Kaisari kiliendelea upande wa mashariki. Hivyo Ufaransa iliendelea kuwa ufalme wa nchi moja lakini upande wa msharikimashariki Wajerumani waliunganishwa pamoja na watu jirani chini ya Kaisari aliyekuwa pia mkuu wa Italia ya Kaskazini, [[Bohemia]] (Ucheki) na sehemu mbalimbali ambazo leo hii ni ama Ufaransa au Ubelgiji na Uholanzi.
 
Mjerumani wa kwanza aliyepokea ukaisari kutoka kwa [[Papa]] wa [[Roma]] alikuwa [[Otto I]] mwaka [[962]].
 
Dola likaendelea hadi [[1806]] wakati [[Napoleon]] alipolifuta.
 
Mjerumani wa kwanza aliyepokea ukaisari kutoka kwa papa wa Roma alikuwa [[Otto I]] mwaka [[962]]. Dola likaendelea hadi 1806 wakati [[Napoleon]] alipoifuta. Jina la "Dola Takatifu la Kiroma" lilianza kutumiwa tangu [[1100]] likaitwa baadaye pia "Dola Takatifu la Kiroma la Wajerumani".
 
== Matatizo ya Dola ==
Hadi [[karne ya 13]] dola lilikuwa na nguvu. Baadaye maeneo ndani yake yaliongezayalijiongezea kiwango cha kujitawala. Kila Kaisari alichaguliwa na kamati ya makabaila na watemi wakuu. HapaKabla ya uchaguzi Makaisari walipaswa kuahidi kabla ya uchaguzi ya kwamba wataheshimu haki ya makabaila juu ya maeneo yao. Mwishoni maeneo yalikuwa kama [[nchi huru]] kabisa yaliyoendelea kujitawala, kuendesha [[vita]] dhidi ya majirani kufuata [[siasa]] zao. Dola

Mwishoni lilikuwadola mwishonililikuwa za zaidi ya maeneo 300 ya kujitegemea; mengine makubwa kama Austria na [[Prussia]], mengine madogo mno yenye eneo la [[mji]] mmoja tu.
 
Tangu [[karne ya 16]] dola halikuwa na uwezo tena wa kufuata siasa ya nje kwa pamoja isipokuwa dhidi ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] walioshambulia mara mbili [[Vienna]], [[mji mkuu]] wa makaisari ([[1529]] na [[1683]]).
 
Tangu karne ya 16 dola halikuwa na uwezo tena kufuata siasa ya pamoja kwa nje isipokuwa dhidi ya Waturuki [[Waosmani]] walioshambulia mara mbili [[Vienna]] mji mkuu wa makaisari [[1529]] na [[1683]]. Lakini vita zavya kuwasukuma Waturuki watoke katika maeneo ya Ulaya ya kusini-mashariki waliyowahi kuvamia viliendeshwa na Kaisari kama mkuu wa Austria bila ya msaada wa dola takatifu.
 
Dola lilifaulu kwa kiasi fulani kutunza [[amani]] au angalau kupakanakuepuka vita kati ya maeneo yake. Isipokuwa [[Vita ya Miaka 30]] kati ya [[1618]] na [[1648]] ilionyesha uwezo mdogo wa dola na karibu theluthi moja ya wakazi wa Ujerumani walikufa.
 
Tangu [[karne ya 17]] majirani kama Ufaransa na [[Sweden]] walijiingiza zaidiazaidi na zaidi katika siasa ya Ujerumani na maeneo makubwa kama Prussia hayakujali tena maazimio ya Kaisari. Dola Takatifu likaendelea kudhoofika.
 
Vita zavya Napoleon zilimalizavilimaliza mabaki yake.
 
{{mbegu-historia}}
Line 35 ⟶ 55:
 
[[Jamii:Historia ya Ujerumani]]
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
 
{{Link FA|de}}