Mnara wa Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:بابل دا برج
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Brueghel-tower-of-babel.jpg|thumb|350px|Mnara wa Babeli ulichorwa mara nyingi na wasanii kama katika picha hii ya [[Pieter Brueghel Mzee]].]]
'''Mnara wa Babeli''' ni jengo kubwa linalotajwa katika [[Biblia]] kwenye [[Kitabu cha Mwanzo]] 11:1-9. Kufuatana na taarifa hii mnara ulijengwa pamoja na mji wa [[Babeli]] kama kilele chake.
 
Katika mapokeo ya Mwanzo 11 Babeli ilikuwaulikuwa [[mji]] wa kwanza uliojengwa baada ya [[gharika kuu]]. Watu[[Binadamu]] waliamua kuwa na jengo kubwa katika mji na kilele chake kifike mbinguni. Mpango huu haukupendezwa nahaukumpendeza [[Mungu]] aliyechanganya [[lugha]] ya watu walioachanaambao hivyo walilazimika kuachana baadaye bila ya kukamilisha mnara mkubwawao.
 
Kihistoria si wazi ni kipindi gani kinachoangaliwa katika simulizi la Mwanzo 11. Inaonekana ya kwamba wasimulizi walikuwa na habari za [[piramidi]] au [[zigurat]] kubwa zilizokuwepo Babeli na penginepo katika [[Mesopotamia]].
 
== Maelezo ya Kiimanikiimani ==
Simulizi limechukuliwa kwa njia mbalimbali katika mapokeo ya [[Wayahudi]] na [[Ukristo|Wakristo]].
 
Moja ni ya kwamba [[hadithi]] hiyo inafundisha kwamba [[kiburi]] na [[dhambi]] kwa jumla vinatenganisha watu wasiweze kuelewana wala kuishi pamoja. Isipokuwa si wazi dhambi ni lipiipi.
 
Kwa Wakristo [[Mwinjili Luka]] katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]] kwenye [[Agano Jipya]] alitumia mfano wa mnara kama kinyume cha matokeo ya siku ya [[Pentekoste]] ambako watu kutoka lugha mablimbalimbalimbali walipata kuelewana kwa msaada wa [[Roho Mtakatifu]].
 
== Simulizi la Mwanzo 11, 1-9 ==
Mstari 35:
* [http://www.frankwu.com/tower.html Tower of Babel] envisioned by science fiction artist [[Frank Wu]]
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Misahafu]]
[[Jamii:Biblia]]