Tom Cruise : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +en
Mstari 1:
[[File:KatieHolmesTomCruiseJune09.jpg|thumb|right|Holmes na Cruise mnamo June 2009]]
 
'''Uhusiano wa Tom Cruise na Katie Holmes''' ambao kwa ufupi huitwa ''TomKat'' ni wenye kujulikana kote duniani.<ref>[[ABC News]]: [http://www.abcnews.go.com/GMA/story?id=1188743&page=1 "TomKat Expecting TomKitten"]</ref> Wawili hawa walianza kuonekana mwaka wa 2005 na wana mtoto mmoja aitwaye Suri, aliyezaliwa mnamo 2006.<ref>[http://www.people.com/people/article/0,,1057104,00.html "Can This Be Love?"] ''People''. May 5, 2005. Retrieved 2008-03-01.</ref>
 
==Historia==
[[Image:Cruiseonoprah.jpg|left|thumb|Cruise akiruka kwenye kochi la [[Oprah Winfrey|Oprah]].]]
 
Cruise, alitepataaliyepata talaka mara mbili, alimwita Holmes kwa mkutano wa kibinafsi kwenye ofisi yake. Inasemekana kuwa wawili hawa walianza kupendana baada ya mkutano huu wa masaa manne. <ref>[http://www.usatoday.com/life/people/2005-05-03-cruise-main_x.htm "Tom, Katie flying high on romance"] ''USA Today''. May 5, 2005 Retrieved 2008-04-26.</ref> Mnamo Aprili 27, 2005, Cruise na Holmes walionekana kwa mara ya kwanza wakiwa pamoja nchini [[Rome]] kwenye sherehe ya [[David di Donatello Awards]]. Baada ya mwezi mmoja, Cruise alijulikana kwa kuruka juu ya kochi kwenye kipindi cha ''Oprah Winfrey'' akipiga kelele kuwa anampenda Holmes kwa dhati. Baada ya miezi miwili tu ya kujuana, Cruise alimposa Holmes na kuwa mchumba wake katika mkahawa wa ''Jules Verne'' iliyo kwenye ''Eiffel Tower'' akimvisha pete ya almasi.<ref>Melissa Mayntz, [http://engagementrings.lovetoknow.com/wiki/Katie_Holmes%27_Engagement_Ring LoveToKnow Engagement Rings]</ref> Mnamo Oktoba 6, 2005, walitangaza kuwa wanatarajia mtoto.<ref>Ryan E. Smith. [http://toledoblade.com/apps/pbcs.dll/article?AID=/20051006/ART09/51006019/-1/ART "Baby frenzy begins: Katie Holmes and Tom Cruise are expecting their first child together."] ''[[The Blade (newspaper)|The Blade]]''</ref> Mnamo Aprili 18, 2006, wawili hawa Holmes alijifungua mtoto wa kike anayeitwa Suri. Mnamo Novemba 18, 2006, miezi saba baada kuzaliwa kwa Suri, wawili hawa walioana mjini [[Bracciano]], Italy.<ref>{{cite news |last=Soriano | first = César G | title =Mr. and Mrs. TomKat: Inside their fairy-tale wedding | publisher =USA Today | date = 2006-11-20 | url =http://www.usatoday.com/life/people/2006-11-19-tomkat-highlights_x.htm |accessdate = 2008-02-12}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
[[en:Relationship of Tom Cruise and Katie Holmes]]