Steven Chu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:سٹیون چو
d +image
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Steven Chu official DOE portrait.jpg|thumb|right|Steven Chu]]
 
'''Steven Chu''' (amezaliwa [[28 Februari]], [[1948]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]] akiwa na asili ya [[China|Kichina]]. Hasa alichunguza [[atomu]] kupitia kwa mionzi ya [[leza]]. Mwaka wa [[1997]], pamoja na [[Claude Cohen-Tannoudji]] na [[William Phillips]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''. Tarehe [[21 Januari]], [[2009]] ameteuliwa kuwa [[Waziri wa Nishati]] katika serikali ya Rais [[Barack Obama]].