Tofauti kati ya marekesbisho "Teknolojia"

no edit summary
* elimu ya matumizi yake pamoja na mbinu na maarifa jinsi ya kutumia sayansi
* uwezo wa kubadili malighafi asilia na kuwa bidhaa yenye thamani inayoweza kukidhi mahitaji ya binaadamu. Hapa bidhaa haimaanishi tu vitu kama magodoro, magari ya kutembelea,unga wa ngano n.k, la hasha ni huduma yeyote inayotolewa kwa jamii mfano huduma ya usafiri, huduma ya utalii, huduma ya chakula, na pamoja na vitu vyote vinavyozalishwa viwandani.
 
[[Jamii:Teknolojia|!]]
[[Jamii:Uhandisi]]
 
20,706

edits