Hidekeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: hi:दजला नदी; cosmetic changes
Mstari 19:
'''Mto Hidekeli''' ([[Kiajemi]]: ''tigr'', [[kar.]]: دجلة, ''dijla'', [[kituruki]]/[[Kikurdi]]: ''dicle'', [[Kiaramu]]: ''deqlath'', [[Kiebrania]]: חידקל ''hidekel'') ni mto wa Asia ya magharibi. Pamoja na [[Frati]] ni mto mkubwa wa [[Mesopotamia]].
 
== Etimolojia ==
Jina la Kiswahili lina asili yake katika [[Kiebrania]] cha [[Biblia]] kinachohifadhi jina la kale kabisa cha [[Kiakkadi]] linaloendelea pia katika maumbo la jina hili kwa Kiarabu, Kituruki, Kikurdi na Kiaramu.
 
== Mwendo ==
Hidekel ina chanzo chake katika milima ya [[Uturuki]] ya Mashariki. Kwa kilomita chache inapita eneo la [[Syria]] halafu inaingia katika Iraq. Baada ya kuvuka milima ya [[Kurdistan]] inapita mji wa [[Mossul]] na kuingia katika tambarare ya [[Mesopotamia]]. Inafika [[Baghdad]] na kuendelea katika Iraq ya kusini hadi kuungana na mto Frati katika [[Shatt al Arab]] ambayo ni mpaka kati ya Iraq na [[Uajemi]]. Mdomo uko katika pembe la [[Ghuba ya Uajemi]].
 
== Mito ya kando ==
Mito ya kando muhimu ni:
* katika Uturuki: [[mto Batman]]
* katika Iraq: [[mto Zab]]
* katika Uajemi: [[mto Karun]]
 
== Malambo ==
Uturuki na pia Iraq zimejenga malambo mbalimbali hasa kwa kusudi la maji ya kumwagilia maeneo makavu. Wataalamu wanaona hatari ya kuhatarisha ekolojia ya mto kwa njia hii. Lakini mazingira ya sehemu kubwa ya mwendo wa mto ni kavu sana na mahitaji ya maji ni makubwa. Faida ya malambo imekuwa mwisho wa mafuriko yaliyotokea zamani hasa katika mwezi wa Aprili wakati wa kuyeyuka kwa theluji milimani.
 
=== Malambo katika Uturuki ===
* lambo la Kralkızı
* lambo la Dicle
* lambo la Cizre
* lambo la Ilısu
* lambo la Garzan
* lambo la Kayser
* lambo la Silvan
 
=== Malambo katika Syria ===
Syria inapanga kujenga vituo vya kuvuta maji kutoka Hidekeli
 
=== Malambo katika Iraq ===
* lambo la Mossoul
* lambo la Samara
* lambo la Kut
* lambo la Makhul
 
[[CategoryJamii:Mito ya BibliaIraq]]
 
[[CategoryJamii:Mito ya IraqAsia]]
[[CategoryJamii:Mito ya AsiaSyria]]
[[CategoryJamii:Mito ya SyriaUturuki]]
[[CategoryJamii:Mito ya UturukiBiblia]]
[[CategoryJamii:Mesopotamia]]
[[Category:Mito ya Biblia]]
[[Category:Mesopotamia]]
[[Jamii:Ghuba ya Uajemi]]
 
Line 90 ⟶ 89:
[[gl:Río Tigris]]
[[he:חידקל]]
[[hi:टाइग्रिसदजला नदी]]
[[hr:Tigris]]
[[hu:Tigris (folyó)]]