Tofauti kati ya marekesbisho "Tanganyika African National Union"

d
kurekebisha viungo vya makala zinazotofautisha maana
(+jamii; viungo vya tarehe)
d (kurekebisha viungo vya makala zinazotofautisha maana)
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' kilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi muungano wa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] cha [[Zanzibar]] ulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.
 
TANU ilianzishwa [[Julai 7]], [[1954]] kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]].
62,394

edits