Mkoa wa Lindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: pt:Lindi (região)
d kurekebisha viungo vya makala zinazotofautisha maana
Mstari 5:
'''Mkoa wa Lindi''' umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]]. Mkoa huu umeanzishwa mwaka 1971 una eneo la 67,000 [[km²]]. Karibu robo ya eneo lake au 18,000 km² ni sehemu ya [[hifadhi ya wanyama]] ya [[Selous]].
 
Mkoa una wilaya sita za [[Lindi Mjini]] na [[Lindi Vijijini]], [[Wilaya ya Kilwa|Kilwa]], [[Nachingwea]], [[Liwale]] na [[Ruangwa]].
 
Mito mikubwa ndiyo [[Lukuledi]], Matando na Mavuji, yote yaelekea Bahari Hindi. Mwinuko huanza mwambaoni ukipanda hadi mita 500, hakuna milima mirefu sana.