Madhara ya mabadiliko ya hali ya hewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
'''Madhara ya [[ongezeko la joto Duaniani]]''' na [[mabadiliko ya hali ya anga]]<ref>In this article, the phrases "global warming" and "climate change" are used interchangably.</ref> ni muhimu sana hasa kwa [[Mazingira ya kimaumbile |mazingira]] na maisha ya kibinadamu. Ushahidi unaoonyesha mabadiliko ya hali ya anga ni pamoja na rekodi muhimu ya kipimo joto, kupanda kwa [[Viwango vya sasa vya eneo lenye maji baharini|maeneo yenye maji baharini]], na kupungukuka kwa kiwango kilichofunikwa na theluji katika [[Ulimwengu wa Kaskazini]].<ref name="WGI AR4 SPM" /> Kulingana na [[Ripoti ya Uchunguzi ya Nnne ya IPCC]], "[nyingi]" kati ya maongezeko ya vipimo vya joto vya wastani Duniani tangu wakati wa katikati wa karne ya 20 ''huenda ikawa'' ni kwa sababu ya ongezeko tunaloliona la wingi wa [[gesi ya nyumba ya kijani]] inayotokana na binadamu". Inatibiriwa kuwa mabadiliko ya hali ya anga katika siku za usoni yatahusisha ongezeko la joto Duniani zaidi (yaani, [[kudadisi mienendo|mwenendo]] wa kupanda katika vipimo vywa joto vya wastani Duniani), kupanda kwa kiwango cha maji baharini, na uwezekano wa kupanda wa wingi wa baadhi ya [[hali mbaya ya hewa |matukio ya hali mbaya ya hewa]]. [[Mazingira]] huonekana kuwa kama na uwezekano mkubwa wa kuadhirika na mabadiliko ya hali ya anga. Mifumo ya kibinadamu huonekana kama yenye kubadilika katika uwezo wa o wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga ya siku za usoni.<ref name="WG2 AR4 SPM" /> Ili kupunguza hatari ya uwezekano mkubwa wa mabadiliko makubwa ya hali ya anga katika siku za usoni, [[Mpango wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Hali ya Anga|nchi nyingi]] zimebuni sera zinazolenga kupunguza uzalishaji wao wa gesi chafu.
 
Line 79 ⟶ 78:
{{See also|Orodha ya harikeni ghali zaidi za Kiatlantiki}}
 
Kwa mujibu wa maelezeo ya [[Shirika la Kimataifa la Somo la Hali ya Hewa]], “Ongezeko la hivi karibuni la athari ya kijamii kutokana na saikloni za kitropiki imesababishwa hasa na ongezeko la ukolezi wa idadi ya watu na miundombinu katika maeneo ya pwani.”<ref name="WMO-IWTC" /> Pielke ''pamoja na watafiti wengine.'' (2008) alilinganisha uharibifu wa harikeni za Marekani wa kati ya miaka 1900–2005 na viwango vywa mwaka wa 2005 na alipata kuwa hakukuwa na mwenendo uliobaki wa uharibifu uliobaki. Miaka ya 1970 na 1980 ilijulikana hasa kwa sababu idadi yao ndogo ya uharibifu ikilinganishwa na miongo ya awali. [[Muongo]] wa 1996–2005 una idadi ya pili ya uharibifu ikilinganishwa na miongo 11 ya awali, huku muongo wa miaka ya 1926–1935 pekee ukiipita kwa kigharama. Dhoruba iliyosababisha uharibifu mwingi zaidi ni [[harikeni ya Miami ya mnamo mwaka wa 1926]], ikiwa na uharibifu takriban dola bilioni 157 bilioni.<ref name="Pielke2008" />