Mwongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Muongo''' ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 jufanya karne moja. Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya muongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:13, 16 Agosti 2010

Muongo ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 jufanya karne moja.

Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya muongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.

Njia nyingine ni kusema "muongo baada" au "muongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Muongo baada ya ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia.