Kisukuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ht:Fosil
d roboti Nyongeza: si:පොසිල; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Fischsaurier fg01.jpg|thumb|250px|Kiunzi cha mifupa cha Ichthyosauria ([[sauri]] ya bahari) kilichopatikana Ujerumani kusini aliyeishi takriban miaka milioni 200 - 100 iliyopita]]
[[ImagePicha:Trilobite2.jpg|thumb|250px|[[Trilobiti]] walikuwa viumbe vya miaka milioni 444 iliyopita.]]
[[FilePicha:Petrified forest log 2 md.jpg|thumb|right|250px| Mti uliokuwa jiwe]]
[[ImagePicha:Archeopterix-img_0293.jpg|thumb|250px|[[Archeopteryx]] ni ndege wa kwanza anayejulikana kutokana na visukuku akifanana bado na [[reptilia]] lakini anaonyesha [[manyoa]] tayari]]
 
[[Kisukuku]] ni mabaki ya kiumbehai ama mmea au mnyama kutoka zamani za miaka 10,000 au zaidi. Visukuku vingi vina umri wa miaka mamilioni.
Mstari 8:
Mabaki yanapatikana kwa umbo tofautitofauti.
 
== Visukuku vya kijiwe ==
Mara nyingi miili ya wanyama na mimea imehifadhiwa kwa umbo la jiwe. Ni kama picha au au hata sanamu ya kiumbe kile. Mifano bora imepatikana pale ambako mmea au mwili wa mnyama ulianguka katika matope laina na kuzama chini haraka. Ndani ya matope laini mwili haukuoza shauri la uhaba wa [[oksijeni]] na uhaba wa [[bakteria]]. Polepole maji ya matope yaliingia dani ya mwili na kujaza nafasi zilizojazwa awali na kiowevu cha [[seli]] wakati kiumbe kilikuwa hai. Maji ya matope yalipeleka pia minerali mbalimbali ndani ya mwili. Jinsi mwendo huu liweza uendelea polepole bila kuzuiliwa polepole hata seli ziliweza ujazwa kwa vipande vidogo vya matope na minerali nyingine. Kama baada ya miaka mingi matope yalikauka hata matope ndani ya seli za mwili ulikauka lakini wa kutunza umbo la seli hizi. Kama ganda la matope liliendelea kufunikwa na tabaka za udongo wa juu shindikizo la juu lilianza kuibadilisha lile udongo kuwa [[jiwe]] na [[mwamba]] kabisa.
 
Mstari 19:
Aina ya pekee ya visukuku ni wadudu waliofungwa ndani ya utomvi wa miti uliobadilika baadaye kuwa[[kaharabu]].
 
== Visikuku vya makaa na mafuta ==
Sehemu kubwa ya mimea ya kale haikugeukiwa kuwa visikuku vya kijiwe bali mabaki yao yalibadilika wakati yalipokaa kama tabaka juu ya uso wa ardhi yalifunikwa kwa udongo na kubadilishwa kwa shindikizo na joto.
 
Mstari 27:
 
{{stub}}
 
[[category:Jiolojia]]
[[categoryJamii:Visukuku|*Jiolojia]]
[[Jamii:Visukuku|*]]
 
{{Link FA|ca}}
Line 79 ⟶ 80:
[[ru:Окаменелости]]
[[sh:Fosil]]
[[si:පොසිල]]
[[simple:Fossil]]
[[sk:Fosília]]