Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 28:
 
::Asante sana, Maria, kwa jibu lako. Naelewa mabano ya mitihani nami nakutakia mafanikio mema. Pia nimefurahi kusikia kuwa una nia ya kuendelea na wikipedia. Unisamehe nikiendelea kuandika kuhusu usafishaji wa wikipedia baada ya shindano. Sababu hasa ni kwamba tukiendelea kuboresha makala zilizoongezeka, tuwe makini. Kabla hatujaongeza au kurekebisha habari za makala fulani, lazima tuangalie majadiliano na ukurasa wa historia ya makala hiyo. Angalia k.m. makala ya [[uchumi]]. Ukiihariri bila kuangalia [[Majadiliano:Uchumi|majadiliano yake]] wala [http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uchumi&action=history historia yake], inawezekana utaongeza kazi ya baadaye kwa vile tafsiri za shindano zilizofuta makala za zamani (pamoja na jamii na interwiki zake) hazijaunganishwa. Nitaendelea kutafuta makala kama hiyo na kuziandikia katika majadiliano yake. Kwa ajili ya kuunganisha tafsiri mbili au zaidi, labda itasaidia ukifungua zote, kila moja katika dirisha lake, na kunakilisha sehemu za makala za zamani kwenda katika makala ya sasa. Pole na kazi. Na asante kwa kazi yako. Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 04:11, 4 Februari 2010 (UTC)
== HalloSalam, good morningafternoon! ==
Sorry to bother you, I apologize sincerely I don't speak Swahili so I hope you'll forgive me for using English. My name is Claudi Balaguer (User Capsot from the Catalan and Occitan Wikipedias) and I'm currently working on a campaign to help our association "Amical de la Viquipèdia" in order to be accepted as a Chapter (an intermediate superstructure between the Wikimedia Foundation and the Wikipedias), demand which hasn't been accepted until now because Catalan is not a/one state language. I think you understand very well what it is to speak a minorized language, to strive to protect and preserve it and I hope you will think our cause is just since it might open the door to all the minorized or stateless languages which can't currently apply for a Chapter even though they might be organized and working hard! In order to support us, you can paste the following template [[Kigezo:Wikimedia CAT|Wikimedia CAT]] in your userpage and/or sign the link of the template. Asante for your attention, I wish you a pleasant, sunny and warm summertime, take care, '''[[Mtumiaji:Capsot|Capsot]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Capsot|majadiliano]])''' 12:25, 17 Agosti 2010 (UTC)