Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho dogo
Mstari 1:
[[Image:Honoré Daumier 026.jpg|right|thumb|400px|Mchoro unaonyesha namna ya watu wanavyocheza tamthilia.]]
'''TamhiliaTamthilia''' (pia: '''Tamthiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''') ni moja kati ya sehemu ya utunzi wa hadithi au fasihi simulizi (ngano au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona kupitia katika makumbi au [[televisheni]], kusikia kupitia katika [[redio]].
 
Tamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazunguzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutizami katika TV tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.