Intaneti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 99:
 
Njia za kawaida za [[kupata Intaneti]] nyumbani ni [[kwa kupiga]], laini za [[broadband]] (kupitia waya za koax, [[nyuzinyuzi za optiki]] au waya za shaba ), [[Wi-Fi, setilaiti]] na teknolojia ya rununu ya[[3G]]. Maeneo ya umma kwa matumizi ya Intaneti ni maktaba na [[mikahawa ya Intaneti]], ambamo kompyuta zilizounganishwa na Intaneti hupatikana. Pia kuna [[sehemu za kupata Intaneti]] katika maeneo mengi ya umma kama vile kumbi za uwanja wa ndege na maduka ya kahawa , katika baadhi ya sehemu hizi kwa matumizi mafupi wakati umesimama. Maneno mbalimbali hutumiwa kama vile "kiosk za umma za interneti", "pahala pa upatikanaji intaneti pa umma", na "simu za kulipia za Mtandao". Hoteli nyingi sasa pia huwa na pahala pa umma, ingawa hizi hulipiwa kulingana na matumizi.
Sehemu hizi hutumika kwa matumizi mbalimbali kama ununuzi tiketi , amana za benki, malipo kupitia mtandao nk. Wi-Fi hutoa upatikanaji usiotumia waya wa mitandao ya kompyuta, na kwa hiyo yaweza kufanya hivyo kwa Intanet yenyewe. [[Sehemu moto]] zinazotoa upatikanaji kama huo hujumuisha [[mikahawa ya Wi-Fi]], ambapo watumiaji hupaswa kuleta vifaa vyao visivyotumia waya kufikia Intaneti kama vile [[Kompyuta za pajani]] au [[PDA]]. Huduma hizi huweza kuwa bure kwa wote, bure kwa wateja tu, au waliolipishwa. Eneo moto halina haja ya kuwa finyu katika eneo ndogo. Kampasi nzima au bustani, au hata mji mzima unaweza kuwezeshwa. Juhudi za [[mashinani]] zimesababisha[[mitandao ya kijamii]] [[isiyotumia waya]]. Huduma za Wi-Fi za kibiahsara zinazofunika maeneo ya miji mikubwa zinapatikana [[London]], [[Vienna]], [[Toronto]], [[San Francisco]], [[Philadelphia]], [[Chicago]] na [[Pittsburgh]]. Intanet huweza kupatikana kutoka sehemu hizo kama kiti cha bustani.<ref>[http://www.bloomberg.com/apps/news?pid=10000082&amp;sid=aQ0ZfhMa4XGQ&amp;refer=canada "Toronto Hydro to Install Wireless Network in Downtown Toronto".] Bloomberg.com. Ilichukuliwa tarehe 19-Mar-2006.</ref> Mbali na Wi-Fi, kumekuwa na majaribio na mitandao ya simu ya kibiashara isiyotumia waya kama [[Ricochet]], huduma mbalimbali za kasi za data kupitia mitandao ya simu za mkononi na, huduma zisizotumia waya zisizobadilika. Simu za mkononi za hali ya juu kama vile [[smartphone]] kwa ujumla huja na upatikanaji wa Intaneti kwa kupitia mtandao wa simu. Vivinjari cha mitandao kama vile [[Opera]] hupatikana katika simu hizi za mkononi zilizoendelea, ambazo pia huweza kutekeleza aina nyingie tofauti ya programu za Intaneti. Simu nyingi za mkononi huweza kupata Intanet kuliko PC ingawa hii haitumiki kwa upana. Kinachotoa huduma za upatikanaji wa Intaneti na muundo wa mfanyiko wa itifaki hutofautisha mbinu zinazotumika kupata Intaneti.
 
== Taathira za kijamii ==
Mstari 110:
Katika jamii za kidemokrasia, mtandao umepata uhusiano mpya kama chombo cha kisiasa, kupelekea [[udhibiti wa Intaneti]] na baadhi ya nchi. Kampeni ya urais wa [[Howard Dean]] mwaka 2004 huko Marekani ulikuwa mashuhuri kwa uwezo wake wa kutoa michango kupitia Intaneti. Makundi mengi ya kisiasa hutumia interneti ili kufanikisha utaratibu mpya wa kujiandaa , ili kutimiza [[wanaharakati wa Intaneti]]. Baadhi ya serikali, kama zile za [[Iran]], [[Korea ya Kaskazini]], [[Myanmar]], [[Jamhuri]] ya [[Watu wa China]], na [[Saudi Arabia]], zinaudhibiti wa juu wa yale watu katika nchi zao wanayoweza kupata kwenye Intanet, hasa maudhui ya kisiasa na kidini. Hii inakamilishwa kwa kupitia programu inayoficha makundi na maudhui ili yasipatikane kwa urahisi bila mbinu ya kitaaluma zaidi.
 
Nchini [[Norway]], [[Denmark]], [[Finland]] <ref name="The Register">{{cite web | title=Finland censors anti-censorship site | work=[[The Register]] | url=http://www.theregister.co.uk/2008/02/18/finnish_policy_censor_activist/ | date=2008-02-18 | accessdate=2008-02-19}}</ref> na [[Uswidi]], watoa huduma za Intaneti kwa hiari yao(pengine kuepuka mpangilio kama huo kuwa sheria) walikubali kudhibiti upatikanaji wa tovuti zilizotajwa na polisi. Ingawa orodha hii ya URL haramu inapaswa kuwa na anwani za tovuti zinazojulikana zenye kuonyesha ponografia ya watoto, yaliyomo katika orodha hii ni siri. Nchi nyingi, ikiwemo Marekani, zimepitisha sheria zinazofanya umiliki au usambazaji wa nyenzo fulani, kama vile [[ponografia ya watoto]], iliyoharamu, lakini hazitumii programu ya kuficha. Kuna programu nyingi za bure na zinazouzwa ziitwayo, [[programu za udhibiti wa maudhui]], na ambazo mtumiaji anaweza kuchagua kuzuia tovuti zinazokera katika kompyuta binafsi au mitandao, kama kuzuia uwezekano wa mtoto kupata habari za kimapenzi au vurugu.
 
Interneti imekuwa chanzo kikuu cha burudani tangu kabla ya mtandao wa dunia nzima, kukiwa na majaribio ya kijamii yanayofurahisha kama vile [[MUD]] na [[MOO]]yaliyofanywa katika vitoa nhuduma vya vyuo vikuu, ambapo makundi ya [[Usenet]]ya vichekesho yalipokea kiasi kikubwa cha trafiki kuu. Leo, [[majukwaa mengi ya Intaneti]] yana sehemu ya michezo na video za kuchekesha; katuni(vibonzo) fupi katika mfano wa [[sinema za flashi]] pia ni maarufu. Zaidi ya watu milioni 6 hutumia vibadilishanaji maoni (blogu) au mbao za ujumbe kama njia ya mawasiliano na kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Viwanda vya [[sinema za watu wazima]] na [[kamari]] vimechukua faida kamili ya mtandao wa dunia nzima, na mara nyingi hutoa chanzo muhimu ya mapato ya matangazo kwa tovuti zingine. Ingawa serikali nyingi zimejaribu kuweka vikwazo katika matumizi ya Intaneti katika viwanda hivi, zilishindwa kupunguza kuenea umaarufu wa viwanda hivi.