Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Removing: cs, da, nl, sk
sahihisho kimondo
Mstari 9:
Kasoko kubwa zaidi duniani zilisababishwa na meteoridi zilizogonga dunia yetu. Kasoko kubwa iliyojulikana hadi 2006 ilikuwa kasoko ya [[Vredefort]] nchini ([[Afrika Kusini]]) yenye umbo la yai ya urefu wa 320 km na upana wa 180 km.
 
Mwaka 2006 wataalamu waligundua kasoko kubwa zaidi yenye kipenyo cha 500 km huko [[Antarktika]] katika picha zilizopigwa angani. Iko chini ya barafu ya Antarktika katika eneo la Wilkes Land inatajwa kwa kifupi cha WLIC (kiing.: Wilkes Land impact crater). Kasoko ya WLIC inaaminiwa imesababishwa na meteoridi[[kimondo]] yenyechenye kipenyo cha takriban 5 km.
 
<gallery>
Image:mooncrater.jpg|Kasoko mwezini kutokana na mgongano wa meteroridi.jpgkimondo
Image:Meteor.jpg|Kasoko huko [[Arizona]] ([[Marekani]]) kutokana na mgongano wa meteroridikimondo
Image:NTS test preparation2.jpg|Kasoko kutokana na milipuko ya bomu za kinyuklia chini ya ardhi kwenye eneo la jaribio la Marekani huko [[Nevada]]
</gallery>