Bremen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ug:Brémén
+ infobox settlement using AWB
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Bremen
|picha_ya_satelite = Bremen-rathaus-dom-buergerschaft.jpg
|maelezo_ya_picha = Ukumbi wa Bremen, St. Peter's Cathedral na Parliament
|pushpin_map = Ujerumani
|pushpin_map_caption = Mahali pa katika Ujerumani
|settlement_type = Mji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Ujerumani]]
|subdivision_type1 = [[Majimbo ya Ujerumani|Jimbo]]
|subdivision_name1 = Bremen
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla = 547685
|latd=53 |latm=04 |lats=33 |latNS=N
|longd=08 |longm=48 |longs=27 |longEW=E
|website = http://www.bremen.de/
 
}}
[[Picha:Bremen Wappen(Mittel).svg|thumb|80px|Nembo ya Bremen]]
'''Bremen''' ni mji mwenye bandari muhimu katika [[Ujerumani]] ya Kaskazini. Iko kando ya mto [[Weser]] takriban 50 [[km]] kabla haujaingia katika [[Bahari ya Kaskazini]]. Ina wakazi 546,000. Pamoja na eneo la jirani kuna watu milioni 2.37 katika mazingira ya Bremen. Weser inapanuka baada ya kupita mji kuwa na mdomo pana sana kabla ya kuishia baharini hivyo meli zinaweza kufika hadi mjini.