Bratislava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ee:Bratislava
d roboti Nyongeza: frr:Bratislava; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Bratislava View From Petrzalka Old City Part.jpg|thumb|left|200px|Bratislava wakati wa usiku]]
[[imagePicha:Flag of Bratislava.png|thumb|Bendera ya Bratislava]]
[[imagePicha:Map slovakia bratislava.png|thumb|200px|Mahali pa Bratislava nchini Slovakia]]
'''Bratislava''' ni [[mji mkuu]] wa [[Slovakia]] mwenye wakazi 450,000. Majina mengine ya kihistoria ya mji huu ilikuwa Pressburg ([[Kijerumani]]) au Pozsony (Kihungaria). Iko kando la [[mto Danubi]].
 
Ishara ya mji ni boma la Bratislava lililosimama tangu karne za kati.
 
== Jiografia ==
Bratislava iko kwenye mpaka wa kusini-magharibi ya Slovakia karibu na [[Austria]] na [[Hungaria]] si mbali na mpaka wa [[Ucheki]].
[[ImagePicha:Hlavne namestie.jpg|thumb|right|250px|Uwanja Kuu re in the Old Town]]
== Historia ==
Eneo la mji lilikaliwa tangu milenia nyingi. Kiini cha mji wa leo kilikuwa boma la Bratislava lililojulikana tangu mwaka [[805]] [[BK]].
 
Mstari 18:
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] na tena baada ya kuachana kwa Chekoslovakia mwaka 1993 Bratislava imekuwa mji mkuu wa Slovakia.
 
[[ImagePicha:Einsteinova.jpg|thumb|right|250px|Barabara kuu ya kitaifa D1 kando la Bratislava]]
== Biashara ==
Bratislava ni mji wa viwanda kuna viwanda vya motokaa, kemia, mashine na vifaa vya stima.
 
== Usafiri ==
Mji ni njiapanda ya barabara kuu pia ya reli. Usafiri kwa maji hutumia bandari ya Bratislava kwenye mto Danubi. Kuna pia Uwanja wa Ndege wa kimataifa.
 
Usafiri wa mjini ni kwa mabasi, reli za barabarani na mabasi ya umeme.
== Picha za Bratislava ==
<gallery>
Image:Bratislava old town from castle hill.jpg|Mji wa Kale
Mstari 33:
Image:Bratislava-Dom-sv-Martina.jpg|Kanisa la Mt. Martino
</gallery>
== External links ==
{{Commonscat|Bratislava}}
* [http://www.bratislava.sk/en/ Official site]
Mstari 44:
[[Jamii:Miji ya Slovakia]]
 
{{Link FA|en}}
{{Link FA|eo}}
 
{{Link FA|en}}
{{Link FA|es}}
 
Line 89 ⟶ 88:
[[fr:Bratislava]]
[[frp:Bratislava]]
[[frr:Bratislava]]
[[fy:Bratislava]]
[[ga:An Bhratasláiv]]