Tofauti kati ya marekesbisho "Fahrenheit"

76 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ka:ფარენჰეიტი; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: so:Faaranhaayt)
d (roboti Nyongeza: ka:ფარენჰეიტი; cosmetic changes)
[[FilePicha:Raumthermometer Fahrenheit+Celsius.jpg|thumb|300px|Thermomita inayoonyesha vizio vya Fahrenheit na Selsiasi wakati moja]]
'''Fahrenheit''' (kikamilifu '''vizio vya fahrenheit''') ni kipimo cha [[halijoto]]. Alama yake ni '''°F'''.
 
Skeli ya fahrenheit ilibuniwa 1724 na mwanafizikia [[Ujerumani|Mjerumani]] [[Daniel Gabriel Fahrenheit]]. Ilikuwa skeli ya kupima halijoto iliyotumiwa sana duniani lakini wakati wa karne ya 20 skeli ya [[selsiasi]] ilichukua nafasi yake kwa sababu inalingana na [[vipimo sanifu vya kimataifa]]. Leo hii fahrenheit hutumiwa hasa [[Marekani]] na nchi chache nyingine kama [[Belize]].
 
Kwenye skeli ya fahrenheit scale kiwango cha kuganda kwa maji ni 32  °F na kiwango cha kuchemka kwa maji ni 212  °F. Kwa hiyo kuna vizio 180 kati ya halijoto ya maji kuganda na kuchemka.
 
== Mifano ==
* Maji huganda kwa 32  °F na kuchemka kwa 212  °F.
* Chumba kwa kawaida kinatakiwa kuwa na 70  °F.
* Halijoto ya mwili wa kibinadamu uwa na 98.6 °F.
* [[Sifuri halisi]] iko kwa –459.67  °F.
 
== Tazama pia ==
* [[Selsiasi]]
* [[Kelvini]]
 
[[CategoryJamii:Vipimo]]
 
[[Category:Vipimo]]
 
[[ar:فهرنهايت (وحدة قياس)]]
[[it:Fahrenheit]]
[[ja:華氏]]
[[ka:ფარენჰეიტი]]
[[ko:화씨]]
[[ku:Farinhayt]]
44,163

edits