1950 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ckb:١٩٥٠
d roboti Nyongeza: ml:1950; cosmetic changes
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[15 Januari]] - [[Anna Valerian Komu]], mwanasiasa wa [[Tanzania]]
* [[5 Aprili]] - [[Agnetha Fältskog]], mwanabendi wa [[ABBA]] na mwanamuziki kutoka [[Uswidi]]
* [[16 Mei]] - [[Johannes Bednorz]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1987]]
* [[29 Mei]] - [[Frederick Sumaye]], Waziri Mkuu wa 9 wa [[Tanzania]]
* [[7 Oktoba]] - [[Jakaya Kikwete]] (Rais wa awamo ya nne wa [[Tanzania]])
* [[14 Oktoba]] - [[John Zefania Chiligati]], mwanasiasa wa [[Tanzania]] na Waziri wa Ardhi (2005-2010)
* [[1 Novemba]] - [[Robert Laughlin]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1998]]
* [[28 Novemba]] - [[Russell Hulse]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1993]])
 
'''bila tarehe'''
* [[Christopher Mtikila]], mwanasiasa kutoka [[Tanzania]]
 
== Waliofariki ==
* [[21 Januari]] - [[George Orwell]]
* [[25 Februari]] - [[George Minot]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1934]])
* [[19 Machi]] - [[Norman Haworth]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1937]])
* [[19 Machi]] - [[Edgar Rice Burroughs]]
* [[14 Aprili]] - [[Frances Ford Seymour]], mke wa pili wa [[Henry Fonda]], alijiua
* [[8 Julai]] - [[Siti Binti Saad]] (mwanamuziki [[Tanzania|Mtanzania]])
* [[17 Julai]] - [[Evangeline Booth]]
* [[18 Julai]] – [[Carl Van Doren]] (mwandishi wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1939]])
* [[23 Agosti]] - [[Frank Phillips]]
* [[11 Septemba]] - [[Jan Christian Smuts]]
Mstari 119:
[[mi:1950]]
[[mk:1950]]
[[ml:1950]]
[[mr:इ.स. १९५०]]
[[ms:1950]]