Mafarisayo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: eo:Fariseoj
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Sacro Monte di Varallo-Cappella XXXV-Gesù condannato alla morte di croce (part.) (56-1).jpg|thumb|right|300px|Sanamu za udongo za Mafarisayo zilizotengenezwa na [[Giovanni d'Enrico]] huko [[Varallo]] ([[Italia]]).]]
'''Mafarisayo''' waliunda [[madhehebu]] mojawapo ya [[Uyahudi]] ambayo wakati wa [[Yesu Kristo]] iliweza kufikia 5% ya Wayahudi wote, lakini ilikuwa na athari kubwa katika jamii yao, kutokana na sifa ya kuwa wanadini hasa. Jina lenyewe lina maana ya '''waliojitenga''' (na wakosefu) ili kushika kiaminifu masharti yote ya [[Torati]] ya [[Musa]].
 
Mstari 7:
 
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
 
[[an:Fariseu]]