Kata (chombo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Kata ni chombo maalum kitumowacho na kabila la Wachagga huko nchini Tanzania mkoani Kilimanjaro. Kata hutumika kunywea pombe iitwayo [[Mbege]]. Kata hutengenezwa kwa kutumia matunda jamii ya tikiti yaitwayo Vibuyu([[GourdsGourd]]).
Matunda haya hukatwa katikati kisha hutolewa nyamanyama za ndani ili kupata uwazi ambao baada ya tunda kukaushwa hupatikana aina ya kikome kizito ama kwa jina Kibuyu.
Kikombe hiki kikiisha kukauka hutobolewa kwa upana matundu mawili ambayo hukobekwa kijiti kirefu kitumikacho kama mshikio wa kata.