Köln : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 31:
Kuna kanisa kubwa la Ujerumani wote ''("Kölner Dom")'' ambalo ni maarufu kwa sababu limejengwa katika muda miaka 700 tangu mwaka [[1248]] hadi [[1880]]. Masalio ya mamajusi watatu waliomtembelea mtoto Yesu huko [[Bethlehemu]] yanasemekana kutunzwa humo. Köln ni kitovu muhimu wa kanisa katoliki na makao wa askofu mkuu.
 
[[Chuo Kikuu cha Köln|Chuo kikuu]] chake kilianzishwa mwaka [[1388]] na leo kuna wanafunzi 44,000 na pamoja na vyuo vingine kuna wanafunzi zaidi ya 80,000 kwenye ngazi ya vyuo. Kati ya vyuo vingini Chuo cha Muziki kimejulikana sana kimataifa.
 
Mji umejulikana nchini kwa aina yake ya pekee ya bia.