Robert Mugabe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eu:Robert Mugabe
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Robert Mugabe, 12th AU Summit, 090202-N-0506A-417.jpg|thumb|right|150px|Robert Mugabe (2009)]]
'''Robert Gabriel Mugabe''' (* [[21 Februari]] [[1924]]) amekuwa kiongozi wa [[Zimbabwe]] tangu [[1980]]. Yeye ni mwenyekiti wa chama tawala cha [[ZANU]]. 1980 alikuwa [[waziri mkuu]] na 1987 [[rais]]Orodha ya Marais wa nchiZimbabwe|Rais wa Zimbabwe]]. Kabla ya wakati ule aliongoza upinzani wa ZANU dhidi ya serikali ya walowezi Waingereza nchini waliofuata siasa ya ubaguzi wa rangi.
 
Mugabe alirudiwa katika uchaguzi mbalimbali. Tangu mwaka 2000 uchaguzi hizi zimekuwa mashakani kutokana na matishio na matumizi ya mabavu dhidi ya wapinzani. Utawala wa Mugabe umeitwa wa kidikteta tangu mwaka 2002. Kutokana na mashataka dhidi ya serikali ya Mugabe ya kudharau haki za binadamu nchi Zimbabwe ilisimamishwa ndani ya [[Jumuiya ya Madola]]. Mugabe pamoja na mawaziri wake na viongozi wa chama chake hawaruhusiwi kusafiri kwenda nchi za [[Umoja wa Ulaya]] na [[Marekani]].