West Virginia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{Majimbo ya Marekani}} using AWB
infobox
Mstari 1:
{{Infobox settlement
[[Picha:Map_of_USA_highlighting_West_Virginia.png|thumb|250px|Mahali pa West Virginia katika Marekani]]
|jina_rasmi = West Virginia
|picha_ya_satelite = Map of USA highlighting West Virginia.png
|maelezo_ya_picha = Mahali pa West Virginia katika [[Marekani]]
|picha_ya_bendera = Flag of West Virginia.svg
|ukubwa_ya_bendera = 100px
|picha_ya_nembo = Seal of West Virginia.svg
|ukubwa_ya_nembo = 80px
|settlement_type = [[Majimbo ya Marekani|Jimbo]]
|native_name =
|nickname =
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = {{flag|Marekani}}
|subdivision_type1 =
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 = [[Mji mkuu]]
|subdivision_name2 = [[Charleston, West Virginia|Charleston]]
|area_total_km2 = 62755
|area_land_km2 = 62361
|area_water_km2 = 394
|idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa =
|population_note =
|wakazi_kwa_ujumla =
|website = http://wv.gov/
}}
'''West Virginia''' ('''Virginia Magharibi''') ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au [[Marekani]]. Iko katika mashariki ya Marekani bara. Imepakana na [[Ohio]], [[Kentucky]], [[Maryland]] na [[Virginia]].
 
Line 6 ⟶ 30:
Kabla ya 1863 eneo la jimbo lilikuwa sehemu za Virginia. Wakati wa [[vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani]] Virginia iliondoka katika maungano ya madola ya Marekani ikajiunga na waasi wengine katika [[Shirikisho la Marekani]]. Wakati ule wilaya za magharibi ya jimbo zilijitenga na kuwa jimbo jipya lililobaki upande wa maungano. Wilaya hizi ziliendelea kama jimbo la pekee la "West Virginia" hata baada ya mwisho wa vita.
 
{{commonscat}}
{{mbegu-jio-USA}}
{{Majimbo ya Marekani}}
{{mbegu-jio-USA}}
 
[[Jamii:Majimbo ya Marekani]]