Bamba la Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: es:Placa de Índia
d roboti Badiliko: es:Placa de India; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bamba Uhindi.PNG|thumb|300px|[[Bamba la gandunia]] la Uhindi katika mazingira yake]]
'''Bamba la Uhindi''' ni [[bamba la gandunia]] ndogo katika [[ganda la dunia]]. [[Bara Hindi]] yenye nchi za [[Uhindi]], [[Pakistan]], [[Bangla Desh]], [[Nepal]] pamoja na nchi visiwa [[Sri Lanka]] na [[Maledivi]] iko juu ya bamba hili.
 
Bamba la Uhindi limepakana na [[bamba la Ulaya-Asia]], [[Bamba la Australia]], [[Bamba la Afrika]] na [[bamba la Uarabuni]].
Mstari 8:
Bamba la Uhindi limepimwa kuwa na mwendo wa kuelekea kaskazini wa [[sentimita]] 5 kila mwaka. Linaendelea kusukuma dhidi ya bamba la Ulaya-Asia na kuikunja zaidi.
 
== [[Tetemeko la ardhi|Mitetemeko ya Ardhi]] ==
Mwendo huu na msuguano kati ya mababmba husababisha mishtuko inayojitokeza kama [[tetemeko la ardhi]]. Kati ya mitetemeko mikubwa ilikuwa:
 
Mstari 14:
Tar. [[26 Disemba]] [[2004]] lilitokea tetemeko kubwa la ardhi chini ya [[Bahari Hindi]] kwenye mstari ambako bamba la Uhindi linajisukuma chini ya bamba ndogo la Burma. Siku ile 1,200 [[km]] za pembizo la bamba la Uhindi zilisogea mbele katika muda wa dakika chache kwa urefu wa takriban 15 [[m]] chini ya [[bamba la Burma]]. Bamba la juu lilisukumwa na kupaa juu takriban mita 30. Mshtuko huu ulianzisha wimbi kubwa chini ya bahari lililotokea juu kwa umbo la [[tsunami]] lililoua takriban watu 275,000.
 
=== Tetemeko la Kashmir [[2005]] ===
Tar. 8 Oktoba 2005 mwendo wa bamba la Uhindi chini ya Himalaya ulisababisha tetemeko la ardhi lililoua takriban watu 60,000 na kuharibu nyumba za watu milioni 2.5. Kitovu cha mshtuko kilikuwako karibu na [[Muzaffarabad]] katika eneo la [[Azad Kashmir]] upande wa Kipakistani ya [[Kashmir]].
 
== Viungo vya Nje ==
 
* [http://www.scotese.com/indianim.htm The collision of India and Asia (90 mya — present)], by Christopher R. Scotese, from the Paleomap Project. Retrieved December 28, 2004.
* [http://neic.usgs.gov/neis/bulletin/neic_slav_ts.html Magnitude 9.0 off W coast of northern Sumatra Sunday, December 26, 2004 at 00:58:49 UTC: Preliminary earthquake report], from the [[U.S. Geological Survey]]. Retrieved December 28, 2004.
{{jaribio}}
 
[[Jamii:Jiografia]]
 
[[CategoryJamii:JiografiaGandunia]]
[[CategoryJamii:GanduniaAsia]]
[[CategoryJamii:Bahari ya Hindi]]
[[Category:Asia]]
[[Category:Bahari ya Hindi]]
{{jaribio}}
 
[[bn:ভারতীয় পাত]]
Line 36 ⟶ 35:
[[en:Indian Plate]]
[[eo:Hindia plato]]
[[es:Placa de ÍndiaIndia]]
[[fr:Plaque indienne]]
[[he:הלוח ההודי]]