Tana (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: no:Tana (elv i Kenya)
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 3:
[[Picha:DM-SD-01-06042.jpg|thumb|Tana 1998 wakati wa [[El Nino]]]]
 
'''Tana''' ni [[mto]] mrefu wa [[Kenya]] ukiwa na urefu wa takriban 650  km. Chanzo chake ni milima ya [[Aberdare]] magharibi ya [[Nyeri]]. Mwanzoni inelekea mashariki halafu ina pinde kuzunguka [[Mlima Kenya]] upande wa kusini, kuelekea tena kaskazini na kuwa na pinde tena kuelekea sasa [[Bahari Hindi]] kwa mwendo wa kusini-mashariki.
 
Baadhi ya mito inayoingia mto wa Tana ni [[Thika (mto)|mto wa Thika]].