Paul Tergat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 3:
'''''Paul Kibii Tergat''''' (amezaliwa [[17 Juni]], [[1969]]) ni mwanariadha maarufu kutoka nchini [[Kenya]]. Yeye alishikilia rekodi ya riadha ya masafa marefu tangu mwaka wa 2003 hadi 2007, akiwa amekimbia kwa muda wa 2:04:55, na anaonekana kama mmoja kati ya wakimbiaji bora wa muda wote.
Katika hali ya kuzingatia mbio ya masafa marefu tu,Tergat ameshinda tuzo nyingi na kuweka rekodi kadhaa za dunia kwenye uwanja,kwenye mbio za nchi kavu na hata kwenye barabara ya lami. Alipewa jina la utani la "Gentleman",Tergat ni mtu wa kufanya bidii katika kazi zake na hujipa motisha sana. Yeye huishi na hufanya mazoezi yake ya mbio [[Ngong]],karibu na jiji la [[Nairobi]].
 
 
==Maisha ya awali ==
Line 22 ⟶ 21:
 
===Wasifu wa Mbio===
[[Picha:tergat2.jpg|thumb|320px|right|[[Paul Tergat]],[[Drew Barrymore]] na [[Josette Sheeran Shiner]] walipokutana na [[Condoleezza Rice]]]]
Tergat alimaliza katika nafasi ya pili katika mbio zake tatu za kwanza: mbio ya London(mwaka wa 2001 na 2002) na mbio ya Chicago(mwaka 2001). Aliendelea kukimbia mbio hizo refu na kuchukua nafasi ya nne mara mbili: mbio ya Chicago (2002) na mbio ya London (2003).
 
Line 83 ⟶ 82:
 
**Medali ya dhahabu, Mbio ya IAAF World Half Marathon ya Mabingwa
 
 
=== Ubora wa kibinafsi ===
Line 102 ⟶ 100:
| 10,000 m || align=right | 26:27.85 || align=right | 1997-08-22 || [[Brussels]]
|-
| 10  km (barabarani) || align=right | 27:45+ || align=right | 2006-03-26 || [[Lisbon]]
|-
| 15  km (barabarani) || align=right | 42:04+ || align=right | 1998-04-04 || [[Milan]]
|-
| Maili kumi (barabarani) || align=right | 45:12+ || align=right | 1998-04-04 || [[Milan]]
|-
| 20  km (barabarani) || align=right | 56:18+ || align=right | 1998-04-04 || [[Milan]]
|-
| Nusu masafa marefu || align=right | 59:06a || align=right | 2000-03-26 || [[Lisbon]]
|-
| 30  km (barabarani) || align=right | 1:29:00+ || align=right | 2002-04-14 || [[London]]
|-
| Masafa marefu || align=right | 2:04:55 || align=right | 2003-09-28 || [[Berlin]]
Line 124 ⟶ 122:
 
Kama wanariadha wengi wa Kenya, Tergat ni mwanajeshi katika jeshi la Kenya. Makao yake ya jeshi yakiwa Moi Air Base,[[Nairobi]].
 
 
== Marejeo ==
Line 150 ⟶ 147:
 
[http://www.iaaf.org/WXC09/news/newsid=48945.html IAAF, Januari 17, 2009: Kiprop na Chepkurui wanashinda mbio ya Kenya Armed Forces Cross Country lakini 'kurudi kwa Tergat ndio yazungumziwa zaidi']
 
 
== Viungo vya nje ==
Line 162 ⟶ 158:
[http://www.paul-tergat.net/tergat-gebre.htm Paul Tergat akipambana Haile Gebrselassie]
 
[http://www.wfp.org/newsroom/in_depth/africa/tergat0209.htm Mwanariadha mwenye mpango kabambe]
 
{{DEFAULTSORT:Tergat, Paul}}