Tofauti kati ya marekesbisho "Uchaguzi nchini Kenya"

3 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d
clean up using AWB
d (clean up using AWB)
 
==Historia==
Baada ya majadiliano na serikali ya Ukoloni ya [[Britain]] mnamo 1963, Serikali iliruhusu mfumo wa ‘’Kura moja kwa kila mmoja’’ mnamo 1963. <ref name = ifes/> Uchaguzi wa kwanza uliisha taratibu huku [[JOmo Kenyatta]] akichaguliwa kama rais wa kwanza wa Kenya mnamo 1964.<ref name = ifes/> Hata hivyo, chini ya uongozi wake, ushindani uliisha pole pole wakati vyama vya kisiasa vyote viliungana na, au kudhulumiwa na chama tawala cha [[KANU]]. ).<ref name = ifes/>. Hii ilipelekea kuundwa kwa mfumo wa chama kimoja nchini mnamo hata baada ya kifo cha [[Jomo Kenyatta]] mnamo 1978.
 
[[Kenya]] iligeuzwa rasmi kuwa nchi ya chama kimoja cha Kisiasa mnamo 1982 kufuatia mabadiliko ya katiba<ref name = ifes/>.
 
Baada ya maandamano ya [[Maandamano ya Saba Saba|Saba Saba]] mnamo 1990, KANU ilijikunja na kuanza mikakati ya kurekebisha mfumo wa kisiasa.<ref name = ifes/> Mnamo 1992, kipengele ambacho kilikuwa kimeifanya Kenya kuwa na mfumo wa Chama Kimoja kilifutwa na Kenya ikarejea kuwa na Mfumo wa Vyama Vingi.<ref name = ifes/>. Uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo huo ulifanyika mnamo 1992 huku wa pili ukifanyika mnamo 1997. Katiba ya Kenya haikuwa imefanyiwa marekebisho ya kutosha kuendeha mfumo huu. Hata hivyo, mnamo 2002, shughuli za uchaguzi zilitajwa kuwa za haki na huru na Jamii ya Kimaataifa, huku KANU ilkipokeza mamlaka kwa chama cha [[National Rainbow Coalition]] ([[NARC]])<ref name = ifes/>
 
==Mfumo wa vyama Vingi tangu 1992==
* [http://psephos.adam-carr.net/countries/k/kenya/ Adam Carr's Election Archive]
* 2008 [[IFES]] analysis of Kenya's electoral history titled [http://www.ifes.org/publication/077c11dc773ce6e94745f7ab711cf11e/IFES%20KENYA%20OSIEA_Aug22_FINAL.pdf The Electoral Process in Kenya:A Review of Past Experiance and Recomendations for Reform]
 
{{Africa-election-stub}}
{{Kenya-gov-stub}}
 
 
{{Africa in topic|Uchaguzi nchini}}
 
{{DEFAULTSORT:Elections In Kenya}}
[[CategoryJamii:Siasa ya Kenya]]
[[Jamii:Uchaguzi nchini Kenya| ]]
 
 
{{Africa-election-stub}}
{{Kenya-gov-stub}}
 
[[en:Elections in Kenya]]
20,706

edits