Bahari ya Adria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: an:Mar Hadriana
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 5:
Nchi zinazopakana nayo ni [[Italia]], [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia na Herzegovina]], [[Montenegro]] na [[Albania]].
 
Adria huelekea kaskazini magharibi kutoka 40°N hadi 45° 45' N.. Urefu wake ni [[km]] 770  km na upana waka kwa wastani ni km 160. Sehemu nyembamba ni [[mlango wa Ortranto]] mwenye upana wa km 85. Eeno lake ni mnamo [[km²]] 160,000.
 
Mwambao wa kaskazini una visiwa vingi hasa mbele ya pwani la Kroatia.