Bahari ya Mediteranea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tk:Ortaýer deňzi
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Mediterranian_Sea_16Mediterranian Sea 16.61811E_3861811E 38.99124N.jpg|thumb|300px|Bahari ya Mediteranea jinsi inavyoonekana kutoka chombo cha angani]]
[[Picha:Mediterranean_ReliefMediterranean Relief.jpg|thumb|300px|Ramani ya Bahari ya Mediteranea]]
'''Bahari ya Mediteranea''' (pia: '''Bahari ya Kati''') ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Atlantiki]] kati ya mabara ya [[Afrika]], [[Ulaya]] na [[Asia]] ya Magharibi. Eneo lake ni takriban milioni 2,5  km². Kina chake kirefu ni 5,267 m. Ina kanda ya hali ya hewa ya pekee pamoja na mimea na wanyama.
 
Neno "Mediteranea" limetokana na lugha ya [[Kilatini]] likiunganisha maneno ya "medium" (inamaanisha "kati ya, katikati") na "terra" (inamaanisha "bara"). Kwa hiyo neno lenyewe linamaanisha "Bahari katikati ya bara".