Tofauti kati ya marekesbisho "Britania"

8 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
clean up using AWB
d (roboti Nyongeza: wa:Grande Burtaegne; cosmetic changes)
d (clean up using AWB)
[[Picha:LocationIslandGreatBritain.png|thumb|300px|Kisiwa cha Britania kati ya Ueire (Ireland) na Ulaya bara]]
'''Britania''' ni kisiwa kikubwa cha [[Ulaya]] chenye eneo la 229,850  km² pia kisiwa kikubwa cha nane duniani. Kwenye kisiwa hiki kuna nchi tatu za [[Uingereza]], [[Welisi]] na [[Uskoti]].
 
Britania iko katika [[Atlantiki]] kati ya [[Bahari ya Ueire]] (Ireland) na [[Bahari ya Kaskazini]]. Pamoja na visiwa vya [[Ueire]] (Eireland), [[Faroe]], [[Isle of Man Man]] na visiwa vingi vidogo ni sehemu ya [[funguvisiwa ya Britania]].
 
Britania huteganishwa na Ulaya bara kwa [[Mfereji wa Kiingereza]]. Mji wa [[Dover]] katika Uingereza ya kusini una umbali wa 34  km na mji wa [[Calais]] katika Ufaransa.
 
Jina la Britania limetokana na [[Dola la Roma|Waroma wa Kale]] waliovamia kisiwa na kufanya sehemu ya kusini kuwa jimbo la dola lao. Jimbo la [[Britania ya Kiroma]] liliunganisha nchi za Uingereza na Welisi za leo.
== Waja ==
* [[William Murdock]]
 
 
<small>'''Tanbihi:'''</small>
* <small> [[TUKI]] imependekeza maneno mawili ya '''Uingereza''' (kwa nchi pia kwa ajili ya Ufalme wa Muungano) na '''Briteni''' (kwa ajili ya kisiwa); lakini "Briteni“ ina matatizo kwa maandishi ya kihistoria na kijiografia kwa sababu inafanana mno na jina la "Brittany“ au "Bretagne“. </small>
* <small>Makala hii inajaribu kutumia neno la "Britania“ na kusubiri michango ya wanawikipedia.</small>
 
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
20,706

edits