Tofauti kati ya marekesbisho "Edinburgh"

1 byte removed ,  miaka 9 iliyopita
d
→‎Historia: clean up using AWB
d (→‎Historia: clean up using AWB)
== Historia ==
Boma lilianzishwa kabla ya [[karne ya 7]] BK. Mji ulianza kukua kando la boma. Mwaka 1437 umekuwa mji mkuu wa Uskoti badala ya [[Perth]]. Ilikuwa pia mahali pa kukutana kwa bunge la Uskoti liliopata jengo lake la pekee mwaka 1639. Baada ya maungano ya [[Uingereza]] na Uskoti mwaka 1707 hapakuwa tena na serikali au bunge la pekee hadi [[1999]] mwaka wa kurudishwa bunge na serikaliya kijimbo kwa Uskoti. Edinburgh imekuwa tena mji mkuu wa angalau wa jimbo linalojitawala katika mambo ya ndani.
 
 
== Picha za Edinburgh ==
20,706

edits