Korintho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[ImagePicha:Corinth map.png|thumb|150px|Mahali pa Korintho]]
'''Korintho''' ([[Kigir.]]: '''Κόρινθος''' ''Kórinthos'') ni mji wa [[Ugiriki]] ya Kusini. Iko kwenye shingo la nchi la Korinth linalounganisha rasi ya [[Peloponesi]] na Ugiriki bara.
 
Siku hizi ni mji mdogo tu mwenye wakazi 36,555 lakini ina historia kubwa na ndefu. Kimataifa Korintho inajulikana kutokana na [[mfereji wa Korintho]] unaokata shingo la nchi kwa urefu wa kilomita sita na kufupisha safari kutoka [[Adria]] kuingia [[Mediteranea]] ya mashariki kwa meli ndogo na za wastani.
[[ImagePicha:Canal of korinth greece.jpg|thumb|right|320px|[[Mfereji wa Korintho]] unavyokata shingo la nchi]]
 
Kihistoria jina la mji lajulikana zaidi kutoka Biblia na hasa barua za [[Mtume Paulo]] kwa Wakristo mjini zinazopatikana katika [[Agano Jipya]] kama [[Waraka wa kwanza kwa Wakorinto]] (1Kor.) na [[Waraka wa pili kwa Wakorinto]] (2.Kor.).
Mstari 15:
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[CategoryJamii:Miji ya Ugiriki]]
[[CategoryJamii:Mahali pa Biblia]]
 
[[ca:Corint]]
[[cu:Корінѳъ]]
[[da:Korinth]]
[[de:Korinth]]
Line 24 ⟶ 25:
[[en:Corinth]]
[[es:Corintia]]
[[fi:Korintti]]
[[fr:Corinthe]]
[[it:Corinto]]
[[he:קורינתוס (עיר)]]
[[it:Corinto]]
[[ja:コリントス]]
[[la:Corinthus]]
[[nl:Korinthe (stad)]]
[[ja:コリントス]]
[[no:Korint]]
[[pl:Korynt]]
Line 36 ⟶ 38:
[[ru:Коринф]]
[[sk:Korint]]
[[cu:Корінѳъ]]
[[fi:Korintti]]
[[sv:Korinth]]
[[zh:科林斯]]