Pirenei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: ang:Pireni |
d clean up using AWB |
||
Mstari 1:
[[
[[
'''Pirenei''' ([[Kifaransa]]: ''Pyrénées''; [[Kihispania]]: ''Pirineos'') ni safu ya milima katika Ulaya ya kusini-magharibi inayotenganisha nchi za [[Ufaransa]] na [[Hispania]]. Zina urefu wa kilomita 430 kati ya [[bahari ya Atlantiki]] na [[bahari ya Mediteranea]].
Mstari 6:
* Pico d'Aneto au Pic de Néthou yenye mita 3,404
* Mont Posets yenye mita 3,375
* Mont Perdu au Monte Perdido au Mont Perdut ("mlima uliopotea") 3,355 m (11,007
Katika historia Pirenei zilikuwa kizuizi cha usafiri hivyo pia mpaka muhimu wa kisiasa. Mipito ni michache tena mikali. Katikati ya milima iko utemi wa [[Andorra]] iliyobaki kama nchi ya pekee kwa sababu ya tabia ya milima iliyozuia nchi kubwa jirani zisiimeze.
Mstari 19:
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[
[[
[[
{{Link FA|af}}
[[af:Pireneë]]
[[als:Pyrenäen]]
|