Ceuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be:Горад Сеўта
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Perejil-neutral.png|thumb|right|250px|Ceuta ([[Hispania]])]]
'''Ceuta''' (tamka: the-uta; [[Kiarabu]]: سبتة ''sabta'') ni mji wa Ki[[hispania]] ndani ya eneo la [[Moroko]] kwenye pwani la [[Mediteranea]]. Ceuta iko karibu na mji wa Tetouan upande wa Moroko. Umbali na [[Hispania]] ni 21  km kuvuka [[mlango wa bahari wa Gibraltar]]. Pamoja na mji wa [[Melilla]] ni sehemu ya [[Hispania]] na [[Umoja wa Ulaya]] kisiasa , lakini kijiografia ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
 
Ceuta ina wakazi 75.276 katika eneo la 18,5  km².
 
== Historia ==