Melilla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lt:Melilja
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Melilla mji.PNG|thumb|right|300px|Ramani ya mji wa Melilla]]
 
'''Melilla''' (tamka: me-li-ya; Kiarabu: '''مليلية''' meliliya; Rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Melilla) ni mji wa [[Hispania]] ndani ya eneo la [[Moroko]] kwenye pwani la [[Mediteranea]]. Umbali na Hispania bara ni takriban 170  km kuvuka bahari. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni Nador mwenye umbali wa 15  km. Pamoja na mji wa [[Ceuta]] kisiasa ni sehemu ya Hispania na [[Umoja wa Ulaya]], kijiografia ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
 
Melilla ina wakazi 65,500 (mwaka 2005) katika eneo la 20  km². Zamani wakazi walio wengi walikuwa [[Wakatoliki]] wa asili ya Hispania pamoja na [[Wayahudi]] na [[Uislamu|Waislamu]] [[Waarabu]] au [[Waberber]] wenye asili ya Moroko. Miaka ya nyuma idadi ya Waislamu imeongezeka ambao wengi wao wanapendelea kujiita Waberber kuliko Waarabu; Wayahudi wamepungua sana. Inasemekana ya kwamba wakazi karibu wote wanajiangalia kuwa Wahispania kama ni Wakatoliki au Waislamu.
 
Uchumi unategemea [[uvuvi]] pamoja na biashara ya mpakani. Pesa rasmi ni [[Euro]].