Tofauti kati ya marekesbisho "Atomu"

5 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
d
clean up using AWB
d (roboti Nyongeza: vec:Àtomo)
d (clean up using AWB)
 
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako elektroni huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [[mizingo elektroni]]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.
 
 
== Chaji na ioni ==
 
Kama idadi ya elektroni imepungua chini ya kiwango cha kawaida atomi yote ina chaji chanja na kuitwa "[[kationi]]". Kama elektroni imeongezwa chaji ya atomi yote huwa hasi na kuitwa "[[anioni]]".
 
 
== Njia za elektroni ==
 
Ukubwa wa atomi yote hutegemeana na umbali wa mzingo elektroni wa nje. Ieleweke ya kwamba mizingo hii yote si dutu au mada lakini nafasi ambako elektroni zazunguka kiini kwa mkasi mkubwa.
 
 
== Tovuti za Nje ==
* [http://web.jjay.cuny.edu/~acarpi/NSC/3-atoms.htm General information on atomic structure]
* [http://www.watertown.k12.wi.us/HS/Staff/Buescher/atomtime.asp Atomic structure timeline]
 
 
{{mbegu-kemia}}
 
{{Link FA|en}}
 
[[af:Atoom]]
[[an:Atomo]]
20,706

edits