Radi (elementi) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Radium |
d clean up using AWB |
||
Mstari 19:
}}
[[Picha:
'''Radi''' ([[kilatini]] "radius") ni [[elementi]] katika [[mfumo radidia]] yenye alama '''Ra'''. [[Namba atomia]] ni '''88''' na [[uzani atomia]] ni 226.0254. Jina limechaguliwa kutokana na tabia yake ya [[ununurifu]], kilatini "radius" yamaanisha "mwale" au "mwonzi". Kikemia radi ni [[metali ya udongo alikalini]] yenye rangi nyeupe. Lakini inaoksidisha haraka kushika rangi nyeusi.
|