Mkutano wa Vienna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:CongressVienna.jpg|thumbnail|350px|''Mkutano wa Vienna'' (Uchoraji na [[Jean-Baptiste Isabey]], [[1819]].]]
 
 
'''Mkutano wa Vienna''' ulikuwa mkutano wa kimataifa wa nchi za [[Ulaya]] uliofanyika mjini [[Vienna]] ([[Austria]]) kati ya 18 Septemba [[1814]] hadi 9 Juni [[1815]]. Maazimio ya mkutano huu yalichora mipaka ya Ulaya kwa miaka mingi ya mbele.