Vita ya Marekani dhidi Hispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mstari 1:
[[Picha:10kMiles.JPG|thumb|300px|Uchoraji wa Kimarekani wa 1898 ulionyesha himaya mpya yenye upanuzi wa maili 10,000 kati ya Ufilipino na Kuba ]]''' Vita ya Marekani dhidi Hispania''' ilitokea mwaka [[1898]]. Ilianza kwa shambulizi la [[Marekani]] tar. [[25 Aprili]] dhidi ya [[Puerto Rico]] iliyokuwa koloni ya [[Hispania]] na kuishia tar. [[12 Agosti]] 1898 jeshi la [[Hispania]] katika [[Manila]] ([[Ufilipino]]) lilipojisalimisha. Marekani ilitwaa koloni za Hispania za [[Puerto Rico]], [[Kuba]] na [[Ufilipino]].
 
Vita hii ilikuwa mwanzo wa Marekani kufuata siasa ya nje ya upanuzi hata katika maeneo ya mbali. Kabla ya vita hii Marekani ilishughulika kupanua eneo lake kwenye bara la [[Amerika ya Kaskazini]] dhidi ya wenyeji asilia na dhidi ya [[Mexiko]].
Mstari 6:
 
{{mbegu}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Vita]]
Line 12 ⟶ 11:
[[Jamii:Historia ya Marekani]]
 
<!-- interwiki -->
[[ar:الحرب الأمريكية الإسبانية]]
[[ast:Guerra Hispano-Estaunidense]]